Makamu wa Rais akasirika, atangaza kuacha kazi.
Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Dkt.Philip Mpango ametangaza kuacha kazi endapo…
Upatikanaji wa Kondomu kurahisishwa ili kupunguza maambukizi ya VVU.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeshauri…
JUX: Kosa la aliyepita isiwe sababu ya kumtesa anayekuja.
Ikiwa leo ndo siku ya uzinduzi wa project mpya ya Msanii Juma…
MBEYA: Wakamatwa wakitorosha Kilo 9.5 za Dhahabu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu kumi kwa tuhuma za…
MABEYO: Hayati Joseph Magufuli alijua hatapona.
Ikiwa jana imetimia miaka 3 tangu Rais wa awamu ya Tano, Mh.…
Mtoto ajinyonga kisa ugomvi wa wazazi.
Mtoto Rafia Adamu mwenye umri wa miaka 8 anayesoma darasa la pili…
Minada ya Kisasa 51 yajengwa ndani ya miaka 3 ya Rais Samia.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amesema kuwa katika kipindi…
Ally Gugu ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani.
Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Ally Senga Gugu kuwa…
Harmonize atimiza umri wa miaka 30, aahidi kubadilika.
Leo Machi 15, 2024 msanii wa Bongo flava nchini, Harmonize ametimiza umri…
TETESI: Fiston Mayele kutua Azam FC kuziba nafasi ya Dube.
Klabu ya Azam FC imempa ofa ya mshahara wa dola 15,000 (zaidi…

