Mtoto Rafia Adamu mwenye umri wa miaka 8 anayesoma darasa la pili mkazi wa Kata ya Maisaka, wilayani Babati mkoani Manyara, amejinyonga majira ya saa Saba mchana baada ya kuona wazazi wake wana ugomvi hadi kupelekea mama yake kuondoka nyumbani siku nne zilizopita.
Marehemu Rafia amejinyonga kwa kutumia mkanda wa mama yake kwenye mti wa mstafeli uliyopo mbele ya nyumba yao.


