Ad imageAd image

Butiama Mei Mosi kumenoga.

Togoro Media
0 Min Read

Umati wa Wafanyakazi na Watumishi wa Taasisi mbalimbali Mkoani Mara wakibubujikwa na furaha kufuatia Mh. Esther Bulaya (Mb Bunda Mjini) kutaja changamoto ya Kikokotoo cha mafao ya wafanyakazi na kupendekeza kiangaliwe upya.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *