Ad imageAd image

Ally Gugu ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani.

Togoro Media
0 Min Read

Rais wa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Ally Senga Gugu kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Kabla ya uteuzi huu Bw. Ally Gugu alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *