Ad imageAd image

Mwanamuziki Liam Payne afariki Hotelini.

Togoro Media
1 Min Read

Mwimbaji maarufu kutoka Uingereza Liam Payne amefariki dunia siku ya Jumatano Oktoba 16,2024 akiwa na umri wa miaka 31. Taarifa za awali zinaeleza kuwa mwili wake ulikutwa umedhoofu sana akihofiwa kunywa pombe kali na dawa za kulevya kabla ya tukio hilo kutokea.

Taarifa zinaeleza kuwa Mashahidi kadhaa katika hoteli aliyofikia huko Buenos Aires wamedai Liam alianguka kutoka kwenye chumba chake kilichokuwa ghorofa ya 3 ya Hoteli ya CasaSur Palermo nchini Argentina.

Share This Article
Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *